TUZO ZA VIWANDA KWA WANAWAKE TANZANIA 2026

TANZANIA WOMEN INDUSTRIAL AWARDS 2026

SIFA ZA USHIRIKI

  • Mmiliki mwanamke kwenye biashara angalau kwa 55%
  • Wafanyakazi wa kudumu 5 – 49 na kuendelea
  • Mtaji: Tshs 5M - 200M na kuendelea
  • Mwenye kutunza kumbukumbu za mahesabu
  • Biashara yenye umri wa miaka 3 na zaidi
  • Biashara iliosajiliwa na kutambuliwa na Serikali
  • Bidhaa zimethibitishwa na TBS au TMDA

VIGEZO VYA TUZO

  • Biashara ndani ya Tanzania Bara au Zanzibar
  • Safari ya Mjasiriamali
  • Ukuaji wa Soko
  • Uwezo wa kuendelea kuwepo
  • Ukuaji wa kipato
  • Utendaji wa kifedha
  • Mwelekeo wa kimkakati
  • Ubunifu